Taarifa
za awali kutoka jeshi la polisi mkoani Iringa zinaeleza... kuwa basi la
kampuni Majinja lililolaliwa na lori lilikuwa limebeba jumla ya watu 49,
idadi hiyo ni pamoja na dereva na kondakta wa basi hilo.wengi wa watu
hao wamefariki dunia idadi ya majeruhi haijajulikana bado.
Taarifa
hizo zinaeleza kuwa kwenye mizigo mingi ya abiria waliokuwa kwenye basi
hilo kumepatikana madaftari mengi ya wanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es
salaam hivyo jeshi hilo linaendelea kufanya mawasoliano ma wamiliki wa
gari hilo ili kujua kama lilikuwa limekodishwa kubeba wanafunzi wa chuo
hicho ama ni mchanganyiko wa kawaida wa abiria.
0 comments:
Post a Comment