skip to main |
skip to sidebar
BONDIA FRANCIS CHEKA ATOKA GEREZANI
Bondia maarufu nchini wa ngumi za kulipwa, Francis Cheka aliyehukumiwa
kifungo cha miaka mitatu jela na kutakiwa kulipa fidia ya Sh. milioni moja
kwa kosa la kumpiga na kumjeruhi meneja wa baa yake amebadilishiwa adhabu
ya kifungo.
Cheka amechiwa na kutoka gerezani na sasa anatakiwa...
kutumikia kifungo cha
nje.
Cheka alihukumiwa na Hakimu wa Mahakama ya Mkoa wa Morogoro, Said Msuya
baada ya kumkuta na hatia ya kumpiga aliyekuwa meneja wa baa yake iitwayo
Vijana Social iliyopo Morogoro Mjini aitwaye Bahati Kabanda ‘Masika’
0 comments:
Post a Comment