skip to main |
skip to sidebar
MZEE WA UPAKO: WAKRISTO WASIO ENDA KANISANI JUMAPILI NI MAFALA
Nimemfatilia channel ten wakati akiongoza ibada huku akishangiliwa na mamia
ya waumini wake.. Kati ya mambo yaliyonistaajabisha ni lugha ya matusi.
Anasema habari ya mjini kwa sasa ni kusali... Ila anamalizia kwa kuwaambia
vijana wanaosema kila siku ni yale yale kanisani kwamba ''ibada haifanani
acha ufala''.
0 comments:
Post a Comment