skip to main |
skip to sidebar
OMMY DIMPOZ: DIAMOND SI YUPO NA ZARI? HAWEZI TENA AKAWA FOCUS NA WEMA
Mwanamziki Ommy Dimpoz ameyasema hay oleo kwenye kipindi cha XXL cha
Clouds FM alipokuwa anautambulisha wimbo wake wa Wanjera ambao mrembo
Wema Sepetu amecheza kama Wanjera kwenye video wa wimbo huo na kushiriki
kupiga picha za kuutangaza wimbo huo. Ommy alisema haoni kama kuna tatizo lolote kati yake na swahiba wake
huyo licha ya Diamond kutoandika... chochote kuhusiana na wimbo huo kama
ambavyo amekuwa akifanya kwa wasanii wengine.
“Labda hajaposti yupo busy na simu yake, hata mimi kuna vitu vingine
huwaga anaposti na mimi vinanipita pia,” amesema Ommy. “Kwahiyo huwezi
ukasema hajaposti kwa sababu fulani na fulani. Diamond si yuko na Zari
au? Kwahiyo hawezi tena akawa anafocus kwa mambo ya Wema. Wala hawezi
kunimind mimi kwa sababu kamuona Wema, haiwezekani. Halafu kumbukeni
shemeji yetu Zari ni mjamzito msitake kuwatia watu pressure.”
0 comments:
Post a Comment