skip to main |
skip to sidebar
DAYNA NYANGE AOMBA ASIFIKIRIWE VIBAYA KUTOKANA NA PICHA HIZI
Dayna Nyange ambae ni Mwanamuziki wa Bongo Fleva ameomba watu wasimfikirie
vibaya kutokana na picha za Cover za nyimbo yake aliofanya na Ney wa Mitego
iliyotoka rasmi April 8 mwaka huu.
Picha hizi zimezua utata kutokana na kupigwa bila kufata maadili ya
Kitanzania, Dayna kafunguka na kusema kuwa yeye...
ni mcha Mungu na amelelewa
katika Misingi ya Dini, na hii ilikuwa ni sehemu ya kazi tu.
0 comments:
Post a Comment