skip to main |
skip to sidebar
DR JOSE CHAMELEONE AAHIDI KUMPA SAPOTI WEMA SEPETU
Jose Chameleone yupo tayari kumsaidia Wema Sepetu kwenye harakati zake za
kuwania nafasi ya ubunge wa viti maalum mkoani Singida.
Petit ambaye ni mmoja wa watu walio karibu na Wema amepost screeshot kwenye
Instagram ya mazungumzo na Chameleone kwenye WhatsApp.
“S/O to my bro Jchameleone kwa...
kuonesha support pale inshallah
atakapochukua mama form ya kugombea Ubunge Viti maalum.. Tutakuwa nae
kwenye campaign mwanzo mwisho.. Thank u so much bro.. Lets support Wema Sepetu,” aliandika Petit kwenye picha hiyo chini:
0 comments:
Post a Comment