skip to main |
skip to sidebar
MADEE ATANGAZA KUACHA MUZIKI HIVI KARIBUNI
Kumekuwa na wasanii wengi ambao wameamua kuacha muziki akiwemo suma lee na
Picco, na Tunda Man ambae pia alitangaza kuacha Bongo Fleva na Kuimba Dini.
Madee nae ameamua kutangaza kuwa karibia anaacha Muziki baada ya kuutumikia
muziki kwa miaka kumi natano.
Akiongea katika 255 ya XXL madee amesema " Mimi niko kwenye muziki miaka
mingi kinoma, huu mwaka wa kumi na tano saivi, yani sidhani kama kuna... kitu
chochote hakijulikani kuhusiana na muziki wangu mimi , lakini kikubwa
ambacho nakitamani ni siku ambayo mi ntaamua ku retire ntakapoamua kuachana
na muziki nasio muda mrefu sana, ntawaambia watu tarehe na siku yenyewe.
0 comments:
Post a Comment