Monday, August 31, 2015
Sunday, August 30, 2015
Q-CHIEF: MWANANGU ALIFUKUZWA SHULE KISA ALIMPIGA MWENZAKE BAADA YA...
Q Chief amedai kuwa aliumia mno pale mtoto wake alipofukuzwa shule baada
ya kupigana na mwanafunzi mwenzake aliyemtania kuwa baba yake ni teja! Q-Chief alikuwa akizungumza na BBC Swahili hivi karibuni. Na kusema kuwa...
Labels:
HABARI & UDAKU
LULU AWAACHA WATU NJIA PANDA BAADA YA KUPOST PICHA HII
Labels:
HABARI & UDAKU
HII NDIYO SEHEMU INAYOFANYA OMMY DIMPOZ AWEZE KUTIMIZA NDOTO ZAKE
Kila mtu ana mahali panapo mfanya aishi na leo ktk pita pita zangu nimekutana na post ya Ommy Dimpoz akiwa studio na kisha ameweka caption inayo sema.. The place where my dreams come true "STUDIO".. Kwa mashabiki zake tegemeeni kitu kipya kutoka kwake.
Labels:
HABARI & UDAKU
Saturday, August 29, 2015
Friday, August 28, 2015
ROSE NDAUKA: NIPO TAYARI KUOLEWA NA YEYOTE
ROSE Donatus Anjelus Ndauka ‘mtata’ amesema kama mwanamke aliyekamilika na mwenye kuhitaji heshima katika jamii, yupo tayari kuolewa na kuishi kama mama na mwanaume yeyote. Akizungumza hivi karibuni, Rose alisema japo mume bora anatoka kwa Mungu na kwamba anangojea aliye chaguo lake, lakini amechoshwa na...
Labels:
HABARI & UDAKU
WOLPER AZIDI KUSISTIZA YEYE NI JACK LOWASSA
Labels:
HABARI & UDAKU
POLISI WAINGILIA KATI BIFU LA MAIMARTHA NA WEMA SEPETU
Kimenuka Hivyo ndivyo unavyoweza kusema kufuatia mtifuano kati ya mtangazaji maarufu wa televisheni, Maimartha Jesse na staa wa filamu, Wema Sepetu baada ya bifu la wawili hao kufika jeshi la polisi.
Akipiga stori na Mwandishi, Maimartha alisema Wema alikuwa na nia ya kumdhalilisha kwani baada ya kumtafuta na polisi na kumkosa, waliamua kumpigia simu na kumuita kituoni Kijitonyama (Mabatini) ambako alisomewa mashtaka ya kumtukana Wema katika...
Labels:
HABARI & UDAKU
Thursday, August 27, 2015
NUHU AENDELEA KUMKANA WEMA SEPETU AFUNGUKA MENGINE HAYA
Labels:
HABARI & UDAKU
Wednesday, August 26, 2015
PROF JAY: NIKIWA MBUNGE MSINITEGEMEE SANA KUONGELEA MATATIZO YA WASANII
Wasanii wasitegemee msaada wa maana pindi Professor Jay akiingia bungeni. Rapper huyo anayewania ubunge kwenye jimbo la Mikumi mkoani Morogoro amesema atatumia wadhifa huo kuwahudumia wananchi wa Mikumi.
Professor amesema kuwa atakuwa mbunge wa watu wa Mikumi hivyo atatumia muda kuwatumikia watu wake.
“Nimewaambia wasanii wangu na wanajua nimechaguliwa kupeperusha bendera ya CHADEMA kwenye jimbo la Mikumi, lakini wengi wamesema...
Labels:
HABARI & UDAKU
BABA MZAZI WA DIAMOND AKATALIWA KUMUONA MTOTO WA DIAMOND
Baada ya hivi karibuni staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kupata mtoto wa kike, Latifah Nasibu ‘Princes Tiffah’ kupitia kwa mwandani wake, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’, baba mzazi wa mwanamuziki huyo, Abdul Jumaa ‘Baba D’ amekataliwa kumuona mjukuu wake huyo. Kwa mujibu wa baba Diamond, baada ya...
Labels:
HABARI & UDAKU
NBC WAZIFUNGIA NYIMBO 20 NCHINI NIGERIA NICKI MINAJ NA ACE HOOD WAHUSIKA
Balaza za sanaa nchini Nigeria NBC (National Broadcasting Commission) limetangaza kuzifungia baadhi ya nyimbo za nchini humo na hata za nje ya nchi hiyo kutokana na nyimbo hizo kutokuwa na maadili yasiyo faa wanadai baadhi ya nyimbo hizo zinachochea...
Labels:
HABARI & UDAKU
NORA: JAMANI NAOLEWA MIE, NIKIACHIKA TENA...
Akipiga stori na paparazi wetu juzi, mmoja wa marafiki wa muda mrefu na Nora, ambaye pia ni msanii wa filamu (jina lipo kwenye droo zetu), alisema kwa sasa Nora yuko ‘bize’ kuhakikisha mambo na mipango ya harusi yake na...
Labels:
HABARI & UDAKU
DIAMOND: WALIO HAMA CCM WOTE NI KABILA MOJA
Lakini leo nimeshangaa kwa kitu alichoandika,eti waliohama wote ni wakabila moja(Lowasa,Sumaye). Sina shaka alichoandika hakijatoka...
Labels:
HABARI & UDAKU
Tuesday, August 25, 2015
MIRROR: SIPENDI KUONA NUHU AKIMTONGOZA BOSI WANGU
“Mimi sina matatizo na Nuh cha kwanza na sikurekodi kwa nia ya watu wasikilize,” alisema. “Kwa sababu hata tukiongea ukweli Nuh na madam ni...
Labels:
HABARI & UDAKU
Monday, August 24, 2015
BASATA WASISTIZA KUWA ADHABU YA SHILOLE IPO PALE PALE
Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) limetoa kauli kuwa adhabu ya kufungiwa kutojihusishwa na sanaa kwa mwaka mmoja ndani na nje ya nchi msanii Shilole ipo palepale, kauli ya hiyo imekuja baada ya msanii huyo kusema kuwa atakwenda kufanya shoo nchini Marekani pamoja na msanii mwenzake Ommy Dimpozi licha ya kufungiwa kwa mwaka mmoja.
Akiongea na East Afrika Radio Shilole alisema amejiandaa vizuri sana katika shoo ambayo anapaswa kuifanya nchini Marekani siku za karibuni, na alipoulizwa atawezaje kufanya shoo hiyo wakati akiwa amefungiwa na BASATA, Shilole alionekana kupaniki na...
Labels:
HABARI & UDAKU
HII NDIYO KAULI YA DIAMOND KUHUSU LOWASSA
Labels:
HABARI & UDAKU
LULU AMRUSHIA VIJEMBE HUSNA MAULID
Labels:
HABARI & UDAKU
PICS: HAWA NDIYO MASTAA WA BONGO WALIYO HUDHURIA VIWANJA VYA JANGWANI
Kama kawaida uzinduzi wa kampeni za CCM kuelekea uchaguzi mkuu wa Urais, Ubunge na madiwani, uzinduzi wa CCM ambao ulipambwa na uwepo pia wa makada wa CCM kutoka
katika tasnia ya filamu na wasanii wa bongofleva pia walikuwepo licha
ya kutokana na ufinyu wa muda waliopata nafasi ya kuperform
ni Peter Msechu, Yamoto Band na Diamond Platnumz sambamba na timu ya watu wake. See more pics inside...
Labels:
HABARI & UDAKU
Sunday, August 23, 2015
STORY: PETE YA JINI SABRAH.. EPISODE-3
PETE YA JINI SABRAH - 3
Mtunzi : Mwinyimvua
0789 569355
Taratibu akaingia chumbani kwangu mama sophia huku akionekana kama mtu mwenye hofu kubwa moyoni. " vipi tena shemeji mbona usiku kuna nini?? " Nilimuuliza mama sophia huku nikivaa shati langu " Shemeji mume wangu kazidiwa gafla anaumwa hali yake mbaya naomba msaada wako " Mama sophia alisema.
Huku akibubujikwa machozi Nilitoka upesi chumbani kwangu na mama sophia kuelekea chumbani kwa mama sophia haraka sikuamini nilichokikuta nilimkuta...
Labels:
LOVE & STORY
MAJIMAMA YAMWAGA RADHI MBELE YA WATOTO
Ama kweli dunia
imekwisha! Hayo yalidhihirishwa Jumamosi iliyopita baada ya kundi la
mijimama kuwamwagia radhi watoto walio chini ya umri wa miaka saba ambao
walikuwa wakitolewa jandoni katika kigodoro kilichofanyika Kigogo
Luhanga jijini Dar. See more pics...
Labels:
HABARI & UDAKU
Saturday, August 22, 2015
WEMA ADAIWA KUVUNJA NDOA YA MDOGO WA DIAMOND PLATNUMZ
Labels:
HABARI & UDAKU
DIAMOND PLATNUMZ NA NEYO WAINGIA STUDIO KURECORD
Labels:
HABARI & UDAKU
KANISA LAGOMA KUMBATIZA MTOTO WA AUNT EZEKIEL
“Alikuwa amejipanga kumbatiza Kikristo kutokana na imani ya baba mtoto wake lakini alipokutana na padri Paul Ruwaaich wa Parokia ya Uparo Moshi aliyekuwa Dar kikazi akamtaka...
Labels:
HABARI & UDAKU
GABO: SIJAONA MSANII WA KUSHINDANA NA MIMI
Msanii wa filamu aliyejizolea umaarufu miaka ya hivi karibuni, Salim Ahmed maarufu kwa jina la Gabo amesema haoni msanii anayempa changamato. Akizungumza kwenye kipindi cha Take One cha Clouds TV, Gabo alisema wengi wamekuwa wakimwambia anaringa kutokana na kuwaambia ukweli.
“Kwa hapa Tanzania sijui ndio maana wanasema mimi naringa,” alisema Gabo alipoulizwa ni msanii gani anayempa changamoto.
“Nyuma alikuwa Single Mtambalike, sasa hivi...
Labels:
HABARI & UDAKU
Friday, August 21, 2015
LULU AMCHOKOZA ZARI THE BOSS LADY
Staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ anatengeneza kichwa cha habari kwa mara nyingine baada ya kudaiwa ‘kujibebisha’ kwa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, kitendo kilichotafsiriwa kuwa ni kumchokonoa mwandani wa jamaa huyo, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’.
Tukio hilo lilijiri usiku mnene Jumapili iliyopita kwenye Ukumbi wa
House Club uliopo Masaki, Dar ambapo kulikuwa na...
Labels:
HABARI & UDAKU
SHILOLE: NIKIIBA MUME WA MTU NISILAUMIWE
Akizungumza na paparazi wetu, Shilole alisema kuwa adhabu aliyopewa ni kubwa mno kiasi ambacho anashindwa kuelewa kwa kuwa sanaa ndiyo...
Labels:
HABARI & UDAKU
Thursday, August 20, 2015
ZARI: SURA YA TIFFAH ITAONEKASA BAADA YA...
Picha zote za Tiffah zilizowekwa kwenye mitandao ya kijamii zinamuonesha mikono, miguu, mdomo lakini amekuwa...
Labels:
HABARI & UDAKU
JOKATE HABANDUKI KWA ALIKIBA... AMFUATA MPAKA KENYA
Jokate Mwegelo hatoki begani mwa mahabuba wake, Alikiba. Wawili hao wapo jijini Nairobi, ambapo Kiba yupo kurekodi kipindi cha
Coke Studio na Jokate ameamua kuungana naye kumsaidia kumpunguzia baridi
la jiji hilo ambalo kipindi hiki linadaiwa kuwa katika kilele chake...
Labels:
HABARI & UDAKU
HUDDAH MONROE AVISHWA PETE YA UCHUMBA
Labels:
HABARI & UDAKU
Wednesday, August 19, 2015
STORY: PETE YA JINI SABRAH EPISODE-2
PETE YA JINI SABRAH - 2
Mtunzi : Mwinyimvua
0789 569355
Niliota nipo beach na marafiki zangu tukipunga upepo gafla akatokea binti mmoja pale tulipokaa sisi binti yule alikuwa anaongea na rafiki yangu alex ingawa macho yake yote alikuwa akiniangalia mimi cha kushangaza binti yule macho yake yalikuwa yaki meta meta kama yakiwaka taa hivi kiukweli nilishtushwa na hali ile mara nikawa ona yule binti na rafiki yangu alex wakielekea kwenye maji kuogelea.
Haikupita muda mfupi gafla alex alisikika akipiga mayoye ya kuomba msaada kwamba aokolewa anakufa sikuweza kuwa amini nilimuona rafiki yangu alex akimezwa na...
Labels:
LOVE & STORY
Subscribe to:
Posts (Atom)