Madee
amefungua mwaka kibiashara zaidi kwa kuja na kampuni ya kukodisha magari
iitwayo Tip Top Connection Tour.
Madee
amesema ameona ni bora afungue mwaka 2016 kibiashara zaidi.
“Nimefungua
kampuni ya kukodisha magari ambayo inaitwa Tip Top Connection Tour,” alisema. “Tutakuwa
tunakodisha watu ambao watakuwa na...
safari zao ndani ya Dar es Salaam na nje
wanione mimi.”
Kwahiyo
mwaka 2016 ndio utakuwa hivyo thabiti kabisa kwa sababu tayari tulikuwa
tunajaribu kuongeza gari na kufikia saba, hiyo ndiyo mipango mikubwa sana mwaka
2016,” aliiambia XXL ya Clouds FM.
0 comments:
Post a Comment