Quick
Rocka ameanzisha kundi jipya liitwalo ‘One G.’
Amesema
kundi hilo litakuwa chini ya label yake, Switch.
“Kubwa
zaidi 2016 ni ujio wa kundi la wasanii wangu One G kupitia record label yangu
Switch na producer wangu Luffa,” Amesema.
“Kwahiyo
mwaka huu tutaanza nao kwa sababu tayari wana ngoma yao mpya pamoja na
video. Lengo letu ni kupeleka...
muziki mbele na kuleta ushindani mpya kwenye
muziki na wasanii wachanga watoke,” alisema.
Hata
hivyo Quick amesema ujio wa kundi hilo hautaathiri muziki na amewataka
mashabiki kukaa mkao wa kula kwa mambo makubwa ya mwaka ujao.
0 comments:
Post a Comment