Linex
hakuwashtua mashabiki wake tu kwa picha za harusi kwenye Instagram, bali pia
mama yake.
Hata
hivyo Linex amedai mama yake alipata mshtuko wa furaha baada ya kuamini kuwa
hizo ni dalili za mwanae kuja kuoa siku moja. “Hizi
picha tukio linaweza kutokea kweli,” alikiambia kipindi cha E-News cha East
Africa Television.
“Hata
mama yangu baada ya kuona tukio na kumwelekeza akasema inawezekana mwanangu
unajitabiria kuoa. Kwahiyo mama yangu...
amefurahi sana, mimi napenda kuwa na
mahusiano na mtu ambaye ni mshikaji wangu,” aliongeza.
Kwa
upande wa model, Erica aliyepiga picha na Linex alisema yeye na Linex ni
wapenzi wa muda mrefu.
“Kufanya
shooting na Linex nimejisikia poa kwa sababu ni msanii mkubwa. Mimi na Linex
kabla ya hii kazi ni wapenzi na mpaka sasa ni wapenzi.”
0 comments:
Post a Comment