“Wema is a business woman, kitu ambacho nitakifanya ni kuhakikisha anasimama kama mfanyabiashara,” alisema.
“Kuna kipindi tulikuwa tayari tumeondoka kwenye drama na mimi nikasimama na kazi zangu nyingine akarudi tena...
kule kule. Lakini cha umuhimu ninachomuomba Mungu tuweze kurudi katika hali ya kawaida na kikubwa tunachopigania ni kuwa nje ya drama na tuwe watu ambao tunafanya biashara,” aliongeza.
0 comments:
Post a Comment