Ushindi wa tuzo ya Alikiba kwenye tuzo za MTV EMA ambayo awali alipewa Wizkid umefichua mambo mengi kiasi cha kuanza kuwapa wasiwasi wasanii wa Tanzania.
Jux ameamua kufunguka ya moyoni kwa waandaji wa tuzo hizo, huku akiwalaumu kwa kuacha watu wapige kura huku washindi wanawapendekeza bila ya hata kuzingatia kura za mashabiki. Jux anaamini kama zoezi la...
upigaji kura kwenye MTV EMA lisingekuwa wazi Alikiba asingeshinda tuzo ambayo anastahili.
Jux pia amesema polls za upigaji kura kwenye tuzo za MAMA’s nazo zingekuwa wazi basi tuzo hizo zingerudi nyumbani, amedai kuwa anaamini Diamond alishinda lakini walimpa Wizkid.



Follow on Instagram
0 comments:
Post a Comment