skip to main |
skip to sidebar
NUHU MZIWANDA AFUNGA NDOA KIMYA KIMYA
Mkali wa wimbo Jike Shupa, Nuh Mziwanda ameingia kwenye list ya
mastaa wa bongofleva waliofunga ndoa mwaka 2016 baada ya kufunga ndoa na
mpenzi wake wa muda mrefu. Muimbaji huyo ambaye zamani alikuwa anatoka kimapenzi na Shilole
amefunga ndoa kimya kimya huku akijiandaa kwa ajili ya kufanya sherehe
kubwa.
Mastaa wengine waliofunga ndoa hivi karibuni ni pamoja na...
Nyandu Tozzy, Tunda Man, Mabeste pamoja na wengine wengi.
0 comments:
Post a Comment