Pages

Subscribe:

Monday, November 21, 2016

NIKKI WA II: SHOW NA TUZO ZA KIMATAIFA NI ISHARA YA KUKUWA KWA MSANII


14712326_1793065887632902_5221636743861633024_n
Nikki wa Pili amesema show za kimataifa na kuchaguliwa kwenye tuzo za nje ni moja ya kiashiria cha kukuwa kwa msanii na muziki wake, Rapper huyo amekiambia kipindi cha Dj Show cha Radio One huwezi kusema kama muziki wako umefika mbali wakati kwenye tuzo za nje ya nchi yako haupo.

“Unapopata show za kimataifa na kuwa nominated kwenye tuzo za nje ina maana kuwa muziki wako umevuka zaidi ya mipaka ya nyumbani kwako, kwa hiyo ni moja wapo ya kiashiria. Huwezi kusema...
muziki umefika mbali kama kwenye tuzo ambazo zinashirikisha nchi nyingi haupo,” amesema Nikki. 

“Kwahiyo ni moja wapo ya kiashiria cha kuona huo muziki una kuwa lakini haimaanisha inatupa picha yote hapana,” ameongeza.

0 comments:

Post a Comment