Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Janeth Magufuli amelazwa katika wodi ya Sewa Haji iliyopo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili.
Mke wa Rais Dkt Magufuli alifikishwa hospitalini hapo baada ya afya yake kutokuwa nzuri.
Picha hapa chini ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli alipokwenda... kumtembelea na kumjulia hali katika hospitali hiyo.



Follow on Instagram
0 comments:
Post a Comment