Hivi
karibuni zilisambaa picha kwenye mitandao ya kijamii zikimuonyesha
msanii wa Bongofleva Rashid Makwilo ‘Chid Benz’ akionekana kurudi kwenye
dawa za kulevya.
Leo December 31 2016 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu
Nchemba amekutana na kufanya mazungumzo na mama wa Chid Benz, baada ya
kuonana na mama yake Chid Benz haya ni maneno aliyoyaandika kwenye
ukurasa wake wa Instagrm...
Saturday, December 31, 2016
MFUGAJI ALIYE MCHOMA MKULIMA MKUKI WA MDOMONI ABAINIKA
Wafugaji wa kijiji cha Changalawe kata ya Masanze wilaya Kilosa mkoani
Morogoro walioyakimbia makazi yao wakihofia kukamatwa na jeshi la polisi
kufuatia tukio la mkulima Agustino Mtitu kuchomwa mkuki mdomoni na
kutokea shingoni hatimaye wamerejea makazini kwao huku wakilalamikia
baadhi ya mifugo yao kukatwa mapanga na watu wasiojulikana.
Wakizungumza baada ya kurejea kutoka porini walikojificha kwa siku tano wafugaji hao wanawake kwa wanaume pamoja na watoto wamesema mtuhumiwa wa kosa la kumchoma mkuki mkulima wamemkabidhi...
Wakizungumza baada ya kurejea kutoka porini walikojificha kwa siku tano wafugaji hao wanawake kwa wanaume pamoja na watoto wamesema mtuhumiwa wa kosa la kumchoma mkuki mkulima wamemkabidhi...
Labels:
HABARI & UDAKU
JAY DEE APOST CHETI CHA TALAKA ALIYO PEWA NA KUANDIKA MANENO HAYA
Ameandika hivi:
Katika vitu vikubwa ninavyoshukuru 2016
Ni kutoka katika Cheti cha juu na kuingia Cheti cha chini
Bila kujali wanafikiria nini Nilifanya hivyo kwa manufaa na furaha yangu , maisha yangu na familia yangu.
Namshukuru Mungu kwa kunipa nguvu kwani haikuwa kazi rahisi ukizingatia swala la kuogopa watu wata ku judge vipi. Baada ya battle ya...
Labels:
HABARI & UDAKU
ALIKIBA ATWAA TUZO HII NCHINI UFARANSA
Fresh kutoka kushinda tuzo ya video bora ya mwaka (Aje) kwenye tuzo za Soundcity MVP za Nigeria, Alikiba ameongeza nyingine wikiendi hii. Mkali huyo ameshinda tuzo ya Chaguo la Watu (Prix du Public) kwenye tuzo za Ufaransa za Wana Music Awards zilizotolewa Ijumaa hii.
“Hii ilikuwa ni tuzo pekee ambayo ilikuwa wazi kwa watu kupiga kura mwaka huu na msisimko uliozalishwa na tuzo hii umevuka matarajio yetu kwa kuwa na majadiliano zaidi ya...
Labels:
HABARI & UDAKU
HARMONIZE: WCB HAKUNA CHUKI WALA USHINDANI KATI YETU
Harmonize amedai kuwa hakuna ushindani ndani ya lebo ya WCB wala chuki tofauti na watu wengine wanavyodhania. Hitmaker huyo wa Matatizo, amekiambia kipindi cha FNL cha EATV kuwa ndani ya lebo yao hawajawahi kushindana wala wanapotoa nyimbo hawatoi kwa mashindano kati yao ila mashabiki ndio wanaowachukulia hivyo lakini kibiashara kwao inakuwa vizuri.
Muimbaji huyo ameongeza kuwa hakuna msanii wa lebo hiyo anachukia pindi mwingine anapofanya kolabo na msanii mwingine mkubwa kwa kuwa kila mtu anakuwa...
Labels:
HABARI & UDAKU
KIDOGO YA DIAMOND YATWAA WIMBO BORA WA MWAKA HUKO AUSTRALIA
Diamond Platnumz amekuwa na mwaka mzuri sana kwani karibia nyimbo zake zote alizotoa kwa mwaka huu zimeweza kupokelewa vizuri sana mbali tu ya kupokelewa vizuri lakini pia amekwara tuzo kibao kupitia kazi zake.
Mwezi uliopita kituo maarufu cha Radio nchini Australia cha RADIO AFRO AUSTRALIA kiliandaa tuzo za kutafuta nyimbo zilizofanya vizuri kwenye mabara tofauti tofauti na kwenye kipengele cha wasanii waliongiza...
Labels:
HABARI & UDAKU
SOLO THANG: SIKUWA NA LENGO LA KUMDHALILISHA CHID BENZ
Msanii mkongwe wa muziki wa Hip Hop nchini, Solo Thang amefunguka baada ya baadhi ya watu kumjia juu kwa kusambaza kipande cha video alichorekedi akiwa na Chidi Benz.
Akiongea kwenye kipindi cha E News cha EATV, Solo amesema kuwa Chidi ndiye aliyemtaka amshoot video wakati walipokutana ila hakuwa na nia kama...
Labels:
HABARI & UDAKU
RAY VANNY: NIPO TAYARI KUFANYA COLLABLE NA ALIKIBA MUDA WOWOWTE
Hakuna asiyejua kama kuna bifu ambalo sio la pole pole kati ya C.E.O wa WCB Wasafi Diamond Platnumz na mtu mzima Alikiba. Bifu ambalo limekaa kibiashara zaidi na hata ushindani katika game.
Waliwahi kusikika Baraka Da Prince ambaye anaonekana kuwa yupo karibu sana na msanii Alikiba, na hata Abdu Kiba ambaye ni mdogo wa damu wa msanii Alikiba na wakadai kuwa wao...
Labels:
HABARI & UDAKU
YOUNG D: SIFIKIRII KWENDA KIMATAIFA MPAKA NIKUBALIKE NYUMBANI
Rapper Young Dee amesema hafikirii kwa sasa kufanya jitihada za kwenda international wakati nyumbani bado hajapenya ipasavyo. Dee anasema anachoamini ni kuwa msanii hawezi kufanya vizuri kimataifa kama nyumbani bado hafanyi vizuri.
“Kuna sehemu mimi sijafika bado Bongo nahisi, Tanzania ni nchi kubwa sana, kuna East Africa halafu kuna Africa halafu...
Labels:
HABARI & UDAKU
YEMI ALADE KUHUSIKA KWENYE TUZO ZA GRAMMY
Wakati mashabiki wa muziki Afrika nzima wakiwa wanasuburia tuzo ya Grammy kutoka kwa Wizkid kupitia wimbo wa Drake wa “One Dance”, Yemi alade amepokea mwaliko wa kuhudhuria tuzo hizo.
Afrika inazidi kusonga mbele na kufanya vizuri kwenye sekta ya muziki kwa kuwakilishwa na wasanii kibao kutoka kila pande ya Afrika, Sasa msanii kutoka Nigeria, Yemi Alade anayetamba na...
Labels:
HABARI & UDAKU
Thursday, December 29, 2016
MUZIKI YA DARASA YAKAMATA NAMBA MOJA KWENYE TRACE TV
Video ya wimbo wa Darassa, ‘Muziki’, imeshika namba moja kwenye chati za kituo cha runinga cha Trace TV kwenye Top 10 ya nyimbo za Hip Hop.
Hatua hiyo imekuja baada ya kujiwekea rekodi zake kadhaa ikiwemo kufikisha views milioni moja ndani ya wiki mbili kitu ambacho hakijawahi kutokea kwenye maisha yake ya muziki., Kwa sasa wimbo huo umeshatazamwa zaidi ya...
Labels:
HABARI & UDAKU
DIAMOND, ALIKIBA, HARMONIZE NA NAVY KENZO WASHINDA TUZO HII
Huenda mwaka 2016 ukawa unaenda kuisha vizuri kwa wakilishi wetu kujinyakulia tuzo huko Ghana.
Usiku wa December 28 2016 tuzo za WatsUp TV Africa Music Video Awards 2016 ndio zilitangazwa Accra Ghana, washindi 22 walitangazwa kupitia Press Conference wakiwemo wasanii wa Tanzania waliyofanikiwa kushinda tuzo hizo kwa...
Labels:
HABARI & UDAKU
CHEMICAL: NIMEKUWA SURPRISED BAADA YA KUPATA UJUMBE WA STEREO
Baada ya rapper Stereo Jumatano hii kutoa la moyoni kwa kueleza jinsi anavyompenda rapper Chemical, Chemical amefunguka na kuzungumza kauli hiyo huku akidai ni kitu ambacho hakukitegemea kusikikia kutoka kwa rapper huyo.
Akiongea katika kipindi cha Planet Bongo cha EA Radio Jumatano hii, Chemical amedai baada ya kumsikia Stereo redioni ni wazi inaonyesha anachokisema Stereo kinatoka moyoni mwake ila kwa sasa...
Labels:
HABARI & UDAKU
DIAMOND AWEKA BAYANA TOFAUTI YA TIFFA NA NILLAN
Diamond amekuwa ni mmoja kati ya wasanii ambao wanaendesha maisha yao kibiashara, kuthibitisha hilo ni hivi tunavyoona mambo yanayo endelea kwenye familia yake, Kama ni mfatiliaji wa familia ya Bw. Nasib (Diamond) Abdul basi utakuwa tayari ushaona utofuti uliopo baina ya watoto wake wawili, hapa namzungumzia Princess Tiffah pamoja na Prince Nillan.
Kipindi mwanae wa kike Tiffah, baada ya kuzaliwa alikuwa ni mtoto ambae kapokea shamra shamra nyingi za hatari kutoka kwenye familia yake na kupata deal kubwa za matangazo katika umri mdogo lakini kwa Nillan...
Labels:
HABARI & UDAKU
NAVY KENZO KUZINDUA ALBUM YAO WEEKEND HII
Navy Kenzo wataizindua rasmi album yao mpya, ‘Above In A Minute’ Jumamosi hii, December 31.Uzinduzi huo utafanyika kwenye ukumbi wa Hyatt Regency Level 8 jijini Dar es Salaam.
Nyimbo zilizomo kwenye album hiyo ni pamoja na Lini waliyomshirikisha Alikiba, Bajaj waliyomshirikisha msanii wa Nigeria, Patoranking, Done wakiwa na Mr Eazi, Morning, Bless Up wakiwa na msanii wao, Rosa Lee, Nipendelee wakiwa na...
Labels:
HABARI & UDAKU
NANDY KUTOSAHAU HAYA KWA MWAKA 2016
Katika kuelekea kuumaliza mwaka huu wa 2016 kila mmoja anakuwa na kumbukumbu ya mambo muhimu ambayo yamemtokea ndani ya mwaka hadi kufikia kuumaliza, haijalishi kama ni mazuri au mabaya, yote yanaweza kukaa kwenye kumbukumbu.
Mwanadada Nandy amepiga story na smashkilimanjaro na kutusanua ni mambo gani ambayo kwa upande wake hawezi kuyasahau kwa mwaka huu wa 2016.
Ni dhahiri kabisa kuwa mwaka huu umekuwa ni...
Labels:
HABARI & UDAKU
Tuesday, December 27, 2016
TIMBULO: SIJUTII KABISA KUACHA UALIMU
Timbulo alisema hayo kupitia kipindi cha Planet bongo ya EATV na
kusema saizi hakuna kitu kingine anachofanya zaidi ya muziki na kila
kitu unachomuona nacho au anachomiliki ni kutokana na...
Labels:
HABARI & UDAKU
BILLNAS: MUZIKI WANGU SIYO BIG-G
Bill Nas amesema hayo kupitia kipindi cha Planet bongo na kusema ngoma zake zote alizotoa hata zikipigwa leo bado zinafanya vizuri licha ya...
Labels:
HABARI & UDAKU
RAY C ABADILI MWONEKANO AJA NA STAILI YA KIHINDI
Huwenda huu ukawa ndio ujio mpya wa msanii mkongwe wa muziki wa bongofleva Rehema Chalamika aka Ray C baada ya misukosuko ya hapa na pale katika maisha yake ya muziki.
Muimbaji huyo ambaye amedaiwa kuweza kuachana na matumizi ya Madawa ya kulevya baada ya kushindwa kwa muda mrefu na baadaye kukaa kwa muda mrefu ndani ya studio ya...
Labels:
HABARI & UDAKU
HII NDIYO REKODI WALIYO IACHA WCB HUKO IRINGA
Usiku
wa Dec 25, 2016 wakali wa Bongo Fleva akiwemo Diamond Platnumz,
Harmonize, Rayvanny, Queen Darleen, Q Boy, Chege pamoja na msanii kutoka
Nigeria Kcee wameandika historia katika mkoa wa Iringa.
Show
hiyo iliyopewa jina la Vodacom Wasafi Festival imefanyika katika uwanja
wa Samora Stadium, hizi ni baadhi ya picha kutoka mahali palipofanyika
tamasha hilo...
Labels:
HABARI & UDAKU
AY AMTAMBULISHA MCHUMBA WAKE
Labels:
HABARI & UDAKU
HII NDIYO SABABU YA HUSSAH KUITOSA WASAFI BEACH PARTY
Wasafi Beach Party iliyofanyika Disemba 24, Jangwani Sea Breezy jijini Dar es Salaam, ilikuwa iwakutanishe mahasimu warembo Huddah Monroe na Vera Sidika jukwaani kama mahost.
Wengi tulikuwa tukisubiri kushuhudia drama ya kufungia mwaka kutoka kwa warembo hao wa Kenya, lakini bahati mbaya fahari mmoja hakutokea. Huddah Monroe ametumia Snapchat kuelezea sababu iliyomfanya ashindwe kuja kwenye party hiyo kuwa ni kushindwa...
Labels:
HABARI & UDAKU
ZARI: HAKUNA KITU NINACHO KIPENDA MAISHANI KAMA KUZAA
Zari ambaye ni mpenzi wa mwanamziki nyota Africa diamond platnumz amesema hayo ikiwa ni siku chache tangu apate mtoto wa kiume aliyezaa na diamond ambaye watu walimbeza kuwa...
Labels:
HABARI & UDAKU
SOLO THANG: CHID BENZ ANASTAHILI KUOMBEWA SIWEZI MHUKUMU
Katika ujumbe ambao Solo Thang aliandika kwenye mtandao wake wa Instgram alisema hawezi kuhukumu na hata iweje bado Chidi Benz ataendelea kuwa...
Labels:
HABARI & UDAKU
CHRISTIAN BELLA: DIAMOND NI SUKARI ALIKIBA NI CHUMVI
Mkali wa masauti Christian Bella Obama amefunguka juu ya u-team ambao unaendelea kkkatika tasnia ya muziki hapa Tanzania especially Team Kiba na Team Diamond.
Akiongea na E-News ya EATV Christian Bella amefunguka kuwa hao wote ni wasanii wazuri na kila mmoja anafanya vizuri kwa upande wake kama ni mtu unaeelewa wala huwezi...
Labels:
HABARI & UDAKU
MADEE AKASIRISHWA NA PICHA PAMOJA NA VIDEO ZA CHID BENZ
Baada ya kusambaa kwa picha na video tofauti tofauti za msanii Chidi Benz akiwa amerudi katika hali yake ya matatizo kama aliyokuwa nayo mwanzo, Madee ameonyeshwa kukerwa na kitendo cha watu ambacho wanafanya kwa msanii huyo mkongwe wa HipHop.
Kupitia kurasa yake ya Twitter, Madee ameandika ujumbe ambao unaonyesha kutopendezwa na picha zinazokuwa zinarekodiwa zikimwonyesha Chidi Benz, Madee amefunguka na kusema...
Labels:
HABARI & UDAKU
Friday, December 23, 2016
ICE BOY: YOUNG KILLER ANA ROHO MBAYA
Rapa Ice Boy ambaye kwa sasa anafanya vizuri na wimbo wake ‘Tumbua majipu’
amefunguka na kusema Rapa Young Killer alikuwa hapendi kuona yeye
anafanikiwa na kutoka kwenye muziki licha ya kufanya naye kazi kama ‘Back vocal Artist’ kwa miaka mitatu.
Ice Boy alisema baada ya kugundua Young
Killer anambania na kutotaka msanii atoke aliamua kuachana naye na
kufanya mambo yake mwenyewe mpaka...
Labels:
HABARI & UDAKU
TUNDA MAN: DEBE TUPU SIYO DONGO KWA DIAMOND
Tunda amekiambia kipindi cha Dj Show cha Radio one, “Kitu kikubwa watu wanaangalia ile cover kwa jicho la tatu, waangalie kwa jicho la kawaida tu. Mimi paka niliyemzungumzia ni yule yule paka wa...
Labels:
HABARI & UDAKU
VANESSA MDEE: WIMBO WANGU NA BARNABA NTAUACHIA MWAKANI
Vanessa Mdee amethibitisha kufanya wimbo mwingine na Barnaba ambao utatoka mwakani. Hitmaker huyo wa Cash Madame ambaye aliwahi kufanya wimbo wa ‘Siri’ na msanii huyo ambao ulitoka mwaka jana amesema kupitia mtandao wa Instagram kuwa wimbo huo ni moto hatari.
Kupitia mtandao huo, Vanessa ameandika...
Labels:
HABARI & UDAKU
BAADA YA NISHA KUFEKI UJAUZITO NAY WA MITEGO AFUNGUKA
Leo December 22 2016 Soudy Brown amezungumza na Nisha akimuomba awaombe msamaha kutokana na kusingizia msanii wa bongo fleva kumpa ujauzito lakini yeye akasema hakumtaja mtu, Aidha Soudy Brown amezungumza na Nay wa Mitego ambaye...
Labels:
HABARI & UDAKU
DIAMOND KUMLETA KCEE KWENYE WASAFI BEACH PARTY
Kila mpenda burudani weekend hii chimbo ni Jangwani Sea Breez kwenye Wasafi Beach Party siku ya mkesha wa sikukuu ya Christmas ambapo Diamond Platnumz na team yake nzima ya WCB Wasafi wanatarajiwa kutoa burudani siku hiyo.
Mastaa kutoka mataifa tofauti tofauti watajumuika kwenye party hiyo ikiwa hapo awali tulikwisha tonywa kuwa mrembo Huddah kutoka Kenya na...
Labels:
HABARI & UDAKU
WCB KUCHOMA GARI JUKWAANI
Labels:
HABARI & UDAKU
JAY MOE AZIDI KUWABURUZA KIZAZI KIPYA
Juma ‘Jay Moe’ Mchopanga aka Mbakiaji, ni rapper mkongwe ambaye kama ng’ombe mzee, hazeeki maini. Kwa takriban miaka 15 ya career yake, Jay Moe hajawahi kuonekana kuhangaika kuonesha ujuzi wake kwenye hip hop.
Ni miongoni mwa wasanii wa zamani wenye hits nyingi ambazo licha ya kuwa na muda mrefu tangu zitoke, bado zinaweza kusikika na upya masikioni mwako. Nyimbo kama Bishoo, Mvua na Jua, Kama Unataka Demu, Maisha ya Boarding, Story 3, Famous ni miongoni mwa...
Labels:
HABARI & UDAKU
Tuesday, December 20, 2016
BARAKA DA PRINCE AUMBUKA STUDIO BAADA YA KUIBA WIMBO WA MTU
Ila msanii Mo music ambaye alikuwa na Baraka studio hiyo moja alithibitisha baraka kuwa...
Labels:
HABARI & UDAKU,
VIDEOS
NAY WA MITEGO: MPENZI WANGU WA SASA HATAKI KUUZISHWA SURA KWENYE MITANDAO
Mwanamke ambaye amemfanya rapa Nay wa Mitego aandike wimbo ‘Sijiwezi’ hataki habari za kuuzishwa sura katika mitandao ya kijamii kama wapenzi wengine wa rapa huyo waliopita.
Akiongea Jumatatu hii, Nay amedai hawezi kufanya kitu ambacho hapendi mwanamke huyo na ataendelea kuheshimu maamuzi yake huku akikiri kuwa ni jambo gumu kwake kwa kuwa...
Labels:
HABARI & UDAKU
GIVE IT TO ME YA BELLE 9 YAMPAGAWISHA KIKWETE
Mbunge wa Chalinze na mdau mkubwa wa sanaa na michezo nchini Ridhiwani Kikwete ameshindwa kujizuia na kuweka wazi mahaba yake kwa ngoma mpya ya Belle 9 iliyo zinduliwa mwishoni mwa wiki ya ‘GIVE IT TO ME’.
Ridhiwani ambaye alikuwa ni miongoni mwa wadau walio hudhuria uzinduzi huo alizungumza na kusema kuwa anampongeza sana Belle 9 kwa hatua hiyo video ni kali sana na yeye kama mbunge na kijana huwa anapenda...
Labels:
HABARI & UDAKU
KILLY: NIMEJIPANGA ILI KUHAKIKISHA NAPIGA HATUA KIMUZIKI
Msanii wa muziki aliyewahi kufanya vizuri na wimbo, Rudi, Killy baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu na hivi karibuni kuachia wimbo mpya ‘Nikwambie’, amedai wasanii wachanga wanakabiliwa na changamoto nyingi lakini yeye anamejipanga kukabiliana nazo ili kuhakikisha anapiga hatua katika muziki wake.
Akiongea wiki hii, Killy amedai wasanii wengi wachanga wanaingia kwenye game bila kujiandaa vizuri kwa kuwa na kazi nzuri ambazo...
Labels:
HABARI & UDAKU
HII NDIYO KAULI YA JOH MAKINI BAADA YA LORD EYES KUCHUKULIWA NA BARAKA
“Mimi Lord Eyez mbali na muziki ni mshkaji wangu sana, we are family. Hata ninavyoongea na wewe wiki moja nyuma kabla sijaenda South Africa tulikuwa wote usiku huo,” amesema Joh. “Mwisho wa siku...
Labels:
HABARI & UDAKU
FEROOZ ARUDI KWENYE MUZIKI AJA NA KUNDI LA WABESHI
Ferooz ameamua kuja na kundi jipya ambalo huenda likaanzia pale ambapo Daz Nundaz iliishia. Kundi hilo liitwalo Wabeshi lipo katika studio za Bongo Records kurekodi ngoma zake. Majani ambaye miezi ya hivi karibuni amekuwa busy studio kurekodi miradi mipya, ameweka picha ya wakali hao Instagram na kuandika...
Labels:
HABARI & UDAKU
NIKKI MBISHI: HAKUNA KAMA CHID BENZ
Ikiwa imepita miezi kadhaa toka rapa Chid Benz alimaarufu kama ‘Chuma’ kuachia wimbo wake mpya na baadaye kupotea kabisa Rapa Niki Mbishi amefunguka na kusema kuwa katika muziki wa Hip hop hakuna rapa mzuri na mwenye uwezo kama Chid Benzi.
Nikki Mbishi ameonesha kusikitishwa sana na kupotea kimuziki kwa Chid Benz na masuala ya utumiaji wa dawa za kulevya na kusema siku zote huwa anaumia sana juu ya Chid Benz na amemuomba...
Labels:
HABARI & UDAKU
BELLE 9 AFUNGUKA HAYA JUU YA TUHUMA KUWA KAMCOPY DIAMOND
Hitmaker wa ngoma ya ‘Give it to me’ mkali toka pande za mji kasoro bahari Belle 9 ambapo amemshirikisha G Nako, msanii huyo amedropisha ngoma yake siku ya jana kwenye kipindi cha XXL ya Clouds FM.
Ukiisikiliza ngoma ya salome aliyoitoa Diamond Pltnumz alafu ukichukua nyimbo ya taifa ya sasa ya mtu mzima Darassa ukionganisha na Give it to me ya Belle 9 , utagundua kuwa nyimbo zote...
Labels:
HABARI & UDAKU
RAY C AJA NA USHAURI HUU
Msanii
mkongwe wa muziki Ray C ameamua kuyapotezea yale yanayozungumzwa katika
mitandao ya kijamii baada ya jana mtandao wa Global Publisher kuandika
taarifa inayodai kuwa muimbaji huyo wa wimbo ‘Milele’ anajiuza.
Kwa mujibu wa taarifa za mtandao huo zinadai kuwa haikuwa kazi rahisi fuatilia mkasa huo mpaka walipowatumia Kamanda wa Oparesheni Fichua Maovu (OFM) ya...
Kwa mujibu wa taarifa za mtandao huo zinadai kuwa haikuwa kazi rahisi fuatilia mkasa huo mpaka walipowatumia Kamanda wa Oparesheni Fichua Maovu (OFM) ya...
Labels:
HABARI & UDAKU
DIAMOND ATOLEA UFAFANUZI JUU YA UJIO WA HUDDAH
Bata ambalo lipo kwenye akili ya kila mpenda burudani kwasasa ni kuhusu Wasafi Beach Party ambayo inatarajiwa kufanyika pande za Jangwani Sea Breeze jumamosi ijayo ya tarehe 24 December.
Show ambayo inasimamiwa na team nzima ya WCB Wasafi. Kitu ambacho kinatrend katika show hiyo ni ujio wa warembo tofauti tofauti kutoka nchi za jirani ambao wanatarajiwa kuja...
Labels:
HABARI & UDAKU
NAHREEL AFUNGUKA SABABU YA KUTOWEKA NYIMBO ZAO PENDWA KWENYE ALBUM
Tunazihesabu siku tu kabla ya kuachiwa album mpya ya Navy Kenzo ambayo wameipachika jina la Above in a Minute (AIM).
Wiki iliyopita ilitoka list kamili ya ngoma ambazo zitapatikana kwenye album hiyo, na kilicho washangaza wengi ni pale walipoona ngoma kama Kamatia Chini, Chelewa na nyingine kibao ambazo zimewahi kuhit kitaani hazikuorodheshwa...
Labels:
HABARI & UDAKU
VANESSA MDEE APATA SHAVU LA UBALOZI
Hitmaker wa ngoma ya Cash Madame Vanessa Mdee leo hii ametusanua kupitia kurasa yake ya Instagram kuhusu shavu lake jipya ambalo amelipata la kuwa balozi wa Slimtea. Vanessa Mdee ameshindwa kabisa kuzificha hisia zake na kujikuta akiandika ni jinsi gani anajiskia baada ya kudondokewa na shavu hilo nono na kuona kuwa ni nafasi nyingine ya kuikuza brand yake.
“Ninafuraha sana ya kutangaza kwamba mimi ni balozi mpya wa @slimteaglobal ni hatua nyingine kwenye kukuza brand ya...
Labels:
HABARI & UDAKU
MASHABIKI WAMSHAMBULIA DIAMOND KISA AJALI YA DARASSA
Ikiwa bado ngoma ya muziki toka kwa Darasa ikitrend, mengi yanazidi kuibuka na story kibao zinaandikwa kuhusu Darasa na muziki wake.
Juzi kati hapa, mshikaji wetu Darasa alipata ajali alipokua anaelekea kwenye show Kakola, yeye pamoja na director wake huku wakiambatana na producer wake walinusurika na kutoka salama kabisa, kupitia ukurasa wake wa instagram...
Labels:
HABARI & UDAKU
Monday, December 19, 2016
NAY: MAHABA YA MPENZI WANGU YAMENISUKUMA NIANDIKE WIMBO MPYA
Msanii wa muziki wa hip hip Nay wa Mitego amedai hawezi kuandika wimbo wa mapenzi kama hana filling ya mapenzi au hayupo kwenye mahusiano.Akiongea na Bongo5 Jumatatu hii, Nay amedai wimbo wake mpya ‘Sijiwezi’ ameuandika kutokana na kupewa mahaba mazito kutoka kwa mpenzi wake.
“Mimi siwezi kuandika wimbo wa mapenzi bila kupata filling ya mpenzi kutoka kwa mpenzi wangu au watu wangu wa karibu ndio maana hata unaona na nyimbo chache sana za mapenzi,” alisema Nay. “Hata Sijiwezi umetokana na...
Labels:
HABARI & UDAKU
Subscribe to:
Posts (Atom)