Muigiza wa filamu Bongo, Jacqueline Wolper ameeleza mahaba yake ya kimuziki kwa rapper Fid Q. Wolper amesema amekuwa akifuatilia muziki wa Fid Q toka mwanzo msanii na huyo hajawahi kutoa wimbo kwake ukawa mbaya.
“Fid Q namba nyingine kabisa, namba chafu yaani ni mtu ambaye namkubali sana, nina ngoma zake toka anaaza muziki hadi ya jana...