Pages

Subscribe:

Thursday, September 21, 2017

JAY MOE: WANAO PIGA PICHA ZA UTUPU NA KUZISAMBAZA WAWE WANAFIKIRIA MARA MBILI


#MeAndYou💑💏 Bofya Link Kwenye Bio #SupportYourOwn Download It @mkitodotcom 
Photo By @bill_sepengaa
#Nisaidie_Kushare📱📱📱
#So_Famous 
Legend katika Bongofleva Juma Mohamed Mchopanga ‘Jay Moe’ kafunguka kuhusu ishu ya watu wanaotumia vibaya utandawazi hasa kwa kupiga picha ambazo hazitakiwi kuonekana hadharani kisha wanazisambaza.

Jay Moe kafunguka na kudai kuwa watu wamekuwa wakiitumia tofauti mitandao na kupiga picha ambazo kawaida si nzuri kuwekwa ‘PUBLIC’ na kuwashauri...
wenye tabia kama hizo kufikiria mara mbili kabla ya kuamua kufanya wanachokifanya kwa kuwa huaribu taswira ya msanii.

0 comments:

Post a Comment