Real Madrid imeibuka na ushindi wa mabao 3-1 ungenini dhidi ya Real sociedad nakupanda hadi nafasi ya nne katika msimamo wa ligi kuu ya hispania,ambapo Barcelona wanaongoza wakiwa kileleni kwa tofauti ya pointi 4.
Tazama picha za matukio hapa chini...
.
.



Follow on Instagram
0 comments:
Post a Comment