Akizungumza Tunda ambaye pia ni 'video vixen', amesema tumbo alilonalo lilikuwa ni kitambi kilichoongezeka kutokana na...
kunenepa, na kwa sasa anafanya mazoezi kuweza kurejesha mwili wake wa kawaida.
"Sina mimba na sijawahi kuwa mjamzito, hili tumbo nimeongezeka tu nina asili ya tumbo nikinenepa na tumbo linaongezeka, hizo tetesi za kutoa mimba ndo nazisikia kwako sijawahi kutoa mimba”, amesema Tunda.
Hivi karibuni mrembo huyo amekuwa akipost picha zinazomuonyesha na tumbo kubwa, hali iliyoibua gumzo kwa mashabiki kuwa huenda mrembo huyo anatarajia kupata mtoto.
0 comments:
Post a Comment