Mr Blue alifunguka hayo kwa kusema kuwa ndoa imemfanya kuwa kijana mwema mwenye kutambua...
majukumu ya ndoa na kulea familia yake na kuachana na mambo mengine ya hovyo hovyo ambayo alikuwa akiyafanya kabla ya kuoa.
Msanii huyo aliendelea kueleza kuwa wakati yupo kwenye uchumba na mkewe huyo bado alikuwa na mabinti wengine kadhaa ambao alikuwa anatoka nao kimapenzi lakini ilifika hatua aliamua kuoa na kutulia na mkewe wa ndoa.
0 comments:
Post a Comment