Wizara ya Afya na Idadi ya Watu ya Misri, imesema, Mahujjaj 35 wa nchi
hiyo wamefariki dunia wakati wa siku ya kwanza ya Hijja iliyomalizika
nchini Saudi Arabia kutokana na uchovu na umri mkubwa.
Afisa mmoja wa Wizara hiyo, Ahmed el Ansary, amesema umri wa Mahujjaji waliofariki ni kati ya miaka...
60 hadi 85, Katika Ibada ya Hijja ya mwaka huu zaidi ya Mahujjaj milioni mbili walihudhuria wakiwemo milioni 1.8 kutoka nje ya nchi .
0 comments:
Post a Comment