Ina vitamini A,B na E pia ina madini ya iron, potassium, calcium, sodium, magnesium, silicon, phosphorous, surphur na chlorine.
Msaada wake mwilini
Hupigana na magonjwa ambayo huja na maji mwilini
Husaidia watu wadhaifu
Husaidia udhaifu wa tumbo au mwili
Inasaidia sana kuponya ugonjwa wa kifua kikuu
Pia huponya magonjwa kama:...
Rheumatism
Arthritis
Gout
Constipation
Diarrhoea
Gallstone
Chest
Kidney
Small intestine
Neva
Kuvimba miguu
Unene unaweza kuondoka kwa kuacha kula kila kitu isipokuwa ndizi
Tumia ndizi 10 hadi 15 mara 3 kutwa,
baada ya dozi hiyo, rudia kula ndizi 5 hadi 10 mara 3 kutwa,
baada ya dozi hiyo rudia kula ndizi 2 tu kwa kila mlo.
Matokeo yatakuwa wazi baada ya kumaliza dozi hiyo.
Tumia ndizi pia
kusafisha damu, wengine damu huchafuka na acid na pia ulaji mbaya. Sasa
dawa ya kusaidia ni ndizi. Maji ya mgomba wake hutumiwa kwa kuponyesha
hermorrhoids (pile) kwa kupaka, na hata kwa kunywa ikiwa yamechanganywa
kwa nephritis.
USHAURI
Ndizi isiliwe na mboga za majani (usababisha kiungulia)
Ndizi isitiwe mafuta mengi
Usile ndizi na pombe (usababisha kiungulia)
Ndizi isitumiwe mara 1 kwa wingi.
0 comments:
Post a Comment