Alikiba ametumia ukurasa wake wa Instagram kuwashakuru mashabiki zake na kuendelea kuifanya ngoma hiyo...
kushika nafasi ya kwanza katika video ambazo zinafanya vizuri Tanzania toka ilipotoka Agosti 25, 2017 na kushuka kwa nafasi moja kwa masaa kadha na baadaye kurejea katika nafasi ya kwanza mpaka sasa.
"Seduce Me imefikisha
watazamaji milioni 4 ndani ya siku 10 na bado inaendelea kushika nafasi
ya kwanza kwa video zinazo 'trend' Tanzania, nawakubali wote na
kuwathamini lakini pia nawapenda sana Tanzania" aliandika Alikiba
0 comments:
Post a Comment