Akizungumza na waandishi wetu Mheshimiwa Mbowe ameelezea jinsi hali ilivyo, huku akisema...
taarifa zaidi zitatolewa mara baada ya madaktari kutoa ripoti.
Chama Cha Demokrasi na Maendeleo (CHADEMA) kimesema kitatoa tamko rasmi muda mfupi baadaye.
Get News, Music, Video and Software......
0 comments:
Post a Comment