Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia kwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa
CCM Humphrey Polepole kimelaani kitendo alichofanyiwa Mbunge wa Singida
Mashariki Tundu Lissu kwa kupigwa risasi jana mchana nyumbani kwake
Dodoma.
Taarifa hiyo ya CCM inalaani kitendo hicho cha kikatili na kusema...
si kitendo cha utu hivyo kimelitaka jeshi la polisi kufanya uchunguzi wa tukio hilo na kuwachukulia sheria kali wote ambao watapatikana kuhusika katika tukio hilo.

0 comments:
Post a Comment