Kikosi cha Chelsea chini ya kocha Antonio conte
kimeendelea na mazoezi yake kwa ajili ya kujiandaa na mechi ya ligi
kuu,Wachezaji ambao wapo katika mazoezi hayo ni wale ambao awajapata
nafasi ya kuitwa katika timu zao za taifa ambapo mechi za kufuzu kombela
dunia zikiendelea.
Baadhi ya wachezaji waliopo katika kikosi hicho ni
pamoja na kiungo mpya kutoka leicester city Danny Drinkwater ambae...
ameanza kazi rasmi chini ya kocha conte,Hata hivyo mchezaji Diego Costa
bado ameendelea na mgomo wake na mpaka sasa ajaripoti mazoezini japo
amejumuishwa katika kikosi cha msimu mpya.
0 comments:
Post a Comment