Pages

Subscribe:

Thursday, September 7, 2017

KANYE WEST NA KIM KARDASHIAN WANATEGEMA KUONGEZA MTOTO WA KIKE

Image result for kanye west and family
Familia ya kim Kardashian na Kanye West wanategemea kuongeza mtoto wa pili January mwakani 2018,hii ni kwa mujibu wa dakatari wao kudhibitisha hilo na kwa taarifa ambayo imetolewa na mtandao wa Tmz inasema kwamba mtoto ambaye anategemewa kuja ni mtoto wa kike.

Mtoto huyo atakuwa ni mtoto wa tatu katika familia hiyo baada ya mtoto wao Saint mwenye umri wa mwaka mmoja na mtoto wa kwanza North Waste ambaye...
mapema mwaka huu aliweka wazi juu ya mapenzi yake katika nyimbo hasa za baba yake baada ya kuonekana akipenda kusikiliza nyimbo ya “so amaizing”

0 comments:

Post a Comment