Akizungumza, Maximillian amesema wasanii wengi wana tabia chafu zisizopendeza kwenye jamii, ikiwemo ulevi, uhuni na hata kufikia hatua ya kutembea na...
pombe za kienyeji aina ya gongo kwenye glasi zao, na wametawaliwa na uswahili.
Maxmillian aliendelea kusema kwamba yeye hayuko tayari kujihusisha na mambo kama hayo, lakini kama kuna mtu ana biashara anaweza akafanya naye kazi, lakini si kusimamia wasanii tena.
0 comments:
Post a Comment