Pages

Subscribe:

Sunday, September 10, 2017

RICK ROSS AMPOST DIAMOND KWENYE UKURASA WAKE WA INSTA NA KUANDIKA MANENO HAYA 20

Rapa maarufu nchini Marekani Rick Ross Jana September 9, 2017 amempost Staa wa Bongp Diamond Platnumz katika ukurasa wake wa Instagram akiwa amebeba chupa za kinywaji cha Belere ikiwa ni ishara ya kukinadi kinywaji hicho.

Diamond ni balozi wa kinywaji hicho cha Belere na yeye amekua Staa wa pili kutoka Afrika kupostiwa na Rick Ross baada ya...
siku kadhaa zilizopita mwanadada kutoka nchini Kenya Huddah Monroe pia kupata bahati hiyo ya kupostiwa na Staa huyu wa Hollywood.

0 comments:

Post a Comment