Wakati stori zikiendelea kuwepo kuwa Joh Makini ana-date na Mimi Mars, rapper huyo mwenyewe ni kitu ambacho kinamshangaza hali iliyopelea kupiga simu kwa muimbaji huyo kujua undani wa tetesi hizo.
Muimbaji huyo ambaye anafanya vizuri na ngoma ‘Sitamani’ amedai wenyewe wanashangazwa na ujio wa taarifa hizo. “Sielewei maana hata Joh Makini aliniambia Mimi Mars itabidi...
nikutafute unieleze hizi stori zimetoka wapi, nikamwambia kaka mimi mwenye sijui nimetagiwa tu huko Instagram,” amesema.
“Unajua kuna watu wengine wanaibukaga na stori halafu
inakuwa trendig na ninahisi ni kwa sababu watu wajajua ninatoka na
nani,” ameongeza.
0 comments:
Post a Comment