Akitoa ripoti hiyo Mkurugenzi Mtendaji wa TACAIDS Dk. Leonard Maboko ameeleza kuwa hali hiyo inaonesha kuwa watu 6,750 huambukizwa kila mwezi huku 81,000 huambukizwa kwa...
kipindi cha mwaka mmoja.
Dk. Maboko alieleza kuwa hali hii ya maambukizi ni mbaya zaidi kwa vijana katika ya miaka 15 na 24 ambapo asilimia 40 ya maambukizi mapya hutokea kwa vijana wa kundi hili la umri, na wengi wao wakiwa wanawake.
0 comments:
Post a Comment