skip to main |
skip to sidebar
DAYNA NYANGE AKANUSHA KUWA MAMA KIJACHO WA DAXX
Msanii Dayna Nyange amezungumza na kuelezea skendo zilizopo za yeye
kuhusishwa kutoka na Daxx ambaye ni Fashion Model na ameonekana kwenye
video mpya ya Dayna Nyange ya ‘Sale Sale’ ikiwa ni pamoja na kuhusishwa
kuwa mjamzito.
Dayna Nyange amesema kwamba yeye anamahusiano na Daxx lakini siyo ya
kimapenzi kwani yeye... anaye mpenzi wake na ishu ya yeye kuwa na mimba
kasema hajawahi kusema kama ni mjamzito lakini Mimba haijifichi na kama
ipo watu wataona na waandae Pampas na maziwa ya mtoto.
0 comments:
Post a Comment