Pages

Subscribe:

Wednesday, March 7, 2018

EDU BOY AUVUNJA UCHUMBA WA NAY WA MITEGO

Msanii wa Hip Hop anayewakilisha Jiji la Mwanza, Edu Boy amefunguka na kujisifu kuwa amempokonya Nay wa Mitego anayedaiwa kwamba ni mpenzi wake Nini kutokana na kushindwa kumridhisha katika masuala mbalimbali. 

Edu Boy amebainisha hayo wakati alipokuwa anapiga stori "Ujue mimi ni mtoto wa kisukuma nakula vizuri, kwa hiyo najua namna ya kumridhisha...
mwanamke pindi tunapokuwa katika tendo kwa sababu tunanguvu za kutosha. Kumpora mtu mpenzi wake ni jambo la kawaida",amesema Edu Boy. 

0 comments:

Post a Comment