Wewe ni mpenzi wa nguo za Fenty Beauty za Rihanna? Mrembo huyo anatarajiwa kuachia nguo zake nyingine mpya toleo la SS18 akishirikiana na kampuni ya Puma ambazo zinatarajiwa kutoka Machi 15 ya mwaka huu.
Tayari bei ya nguo hizo imewekwa wazi ambayo ni dola 300 sawa na zaidi ya shilingi laki sita na...
elfu sabini.



Follow on Instagram
0 comments:
Post a Comment