Nchini Marekani katika mji wa Los Angeles roboti ya kwanza ya kutengeneza burger imeanza kutumika. Inaelezwa kuwa kama...
teknolojia hii itaendelea itapunguza wafanya kazi katika migahawa ya chakula (Fast Food) kwani robot hizo hazipiki tu chakula, bali hadi kuandaa chakula hicho kwa wateja.
0 comments:
Post a Comment