skip to main |
skip to sidebar
RIHANNA AONESHA TUMBO LAKE KUTHIBITISHA KUWA ANA UJAUZITO
Mwana dada Riri a.k.a Rihanna ameingia kwenye headlines mara baada ya show
aliyofanya jana usiku katika show ya superbowl waliokuwepo wakifanya na
Kanye west.
\
Mitandao mingi ime-post picha hiyo ikimuonesha tumbo limezidi kuongezeka
mbali na siku za nyuma ambapo zilizagaa skendo kwamba...
Rihanna ni
mjamzito.Hata kwa muonekano wa sura anaonekana amebadirika tofauti na
zamani.
Swali ambalo limebaki kwa mashabiki wengi ni kwamba mimba hiyo ya
nani?Stori nyingi zaidi utazipata hapahapa nitakusogezea habari kamili.
0 comments:
Post a Comment