Producer
mkongwe wa muziki wa Bongo Flava Master Jay, amesema tuzo
wanazoshiriki wasanii wetu nje ya nchi haziwasaidii katika kutanua wigo
wa kibiashara wa msanii wa Tanzania huku wakitumia ghara kubwa
kutengeneza video zenye ubora ili...
Tuesday, September 29, 2015
SAUTI SOUL WAFANYA MAKUBWA NCHINI MAREKANI, WAPIGA SHOW KALI NA JAY Z, BEYOUNCE NA...
Labels:
HABARI & UDAKU
Monday, September 28, 2015
CHUMBA CHA MTOTO WA KAJALA NA P FUNK KUFURU TUPU
Chumba cha mtoto wa prodyuza maarufu Bongo, Paul Matthysse ‘P- Funk’ na Kajala Msanja, Paula kimeibua mshituko kufuatia namna kilivyosheheni vitu vya thamani.
Juzikati mwandishi wetu alitinga ndani ya mjengo anaoishi Kajala maeneo ya Mwenge jijini Dar na kustaajabu mengi lakini miongoni mwa hayo ni chumba ambacho ametengewa Paula. Tazama picha hapa ndani...
Labels:
HABARI & UDAKU
SWIZZ BEATZ AIKUBALI NANA YA DIAMOND PLATNUMZ
Muda mfupi uliopita jamaa kapost tena kipande cha video ya mtoto wake akiwa anacheza wimbo wa Diamond Platnumz, ‘Nana’ Feat. Mr. Flavour… kwenye post hiyo Swizz ameandika...
Labels:
HABARI & UDAKU
Sunday, September 27, 2015
PHOTOS: PRINCESS TIFFAH AKUTANA NA KAKA ZAKE NCHINI S.A
Pamoja na kuwa ni watoto wa baba tofauti, watoto wa kiume wa Zari
wamempokea kwa furaha kubwa Tiffah, mtoto wa Zari the Bosslady. Zari
kwenye picha hii ameandika: If anybody ever said perfect doesn’t exist,
they were wrong. It surely does!!!! Look at my ‘perfect’ lil life
Baada ya Tiffah kufikisha siku 40, sasa ni muda wa kuonana na kaka zake hao watatu wanaoishi nchini Afrika Kusini. See more pics inside...
Labels:
HABARI & UDAKU
Saturday, September 26, 2015
Friday, September 25, 2015
IYANYA AJIPONGEZA KWA KUNUNUA GARI MPYA BAADA YA KUACHIA ALBUM
Labels:
HABARI & UDAKU
WEMA SEPETU: SHEREHE YA TIFFAH HAIKUNIHUSU
Staa asiyechuja Bongo, Wema Sepetu amefunguka kuwa hakuhudhuria kwenye 40 ya mtoto wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’ ambaye alikuwa mpenzi wake kwa kuwa haikuwa inamuhusu.
Akizungumza na mwandishi karibuni baada ya kumuuliza kwa nini hakuonekana kwenye sherehe hiyo, Wema alisema asingeweza kwenda kwa kuwa...
Labels:
HABARI & UDAKU
KAJALA AMMWAGIA ZARI NOTI ZA FEDHA
Hafla hiyo ilifanyika nyumbani kwa Diamond, mitaa ya Madale-Tegeta nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam na kuhudhuriwa na...
Labels:
HABARI & UDAKU
Thursday, September 24, 2015
BARAKAH DA PRINCE APATA USIMAMIZI MPYA WA KAZI ZAKE
Star
wa muziki Barakah da Prince amelitolea ufafanuzi suala la yeye kuingia
katika makubaliano ya usimamizi wa kazi zake za muziki na kampuni
nyingine ambayo imeonekana kumvutia star huyo nchini. Pamoja
na kusitisha huko bado imeonekana kuwa hakuna utaratibu rasmi
uliofanyika kusitisha...
Labels:
HABARI & UDAKU
J.COLE AINGIA TANZANIA KIMYA KIMYA
Labels:
HABARI & UDAKU
MASHABIKI WA DIAMOND WAANZA KUGAWANYIKA KISA SIASA
Lakini response ya safari hii ni tofauti kabisa na huko nyuma hasa baada ya kukubali kujiingiza katika kampeni za kisiasa. Watu kadhaa walimuonya kuwa siasa zitamharibia na kumpotezea washabiki lakini alidharau na wapo Waliompa ushauri eti asijali kwani hata...
Labels:
HABARI & UDAKU
Wednesday, September 23, 2015
BEN POL AACHANA NA PANAMUSIQ
Muimbaji wa ‘Sophia’ Ben pol amedumu chini ya management hiyo kwa muda wa miezi mitano kuanzia mwezi wa April aliposaini hadi mwezi September.
Hata hivyo hajaweka wazi sababu za kwanini ameamua kuachana nao zaidi yamadai ya kutoridhishwa na...
Labels:
HABARI & UDAKU
Tuesday, September 22, 2015
Monday, September 21, 2015
BEN POL FT AVRIL KUACHILIWA ALHAMISI HII
Labels:
HABARI & UDAKU
KAULI YA WOLPER KUHUSU KUTO HUDHULIA 40 YA TIFFAH
Mapema jana staa wa Bongo Movies, Jacqueline Lowassa kupitia kurasa wake kwenye mtandao wa Instagram aliandika haya akitoa udhuru wa kutohuduria 40 ya mtoto wa staa wa Bongo Fleva Diamond Platnum, Tiffah iliyofanyika jana nyumbani kwa Diamond.
40 ya Tiffah Lee Queen Asante bwana Demonde kwa mualiko ..ila ulivyomswahilI kila mualiko nakua nakamtoko au nakua sipo kabisa Dar sasa kivumbi pale kwenye harusi yangu ule mualiko sasa utakavyojisafirisha ili kunilipizia usifanye hvyo mambo yanaingiliana..lol ...hongera sana Naseeb najua...
Labels:
HABARI & UDAKU
Sunday, September 20, 2015
Saturday, September 19, 2015
DAVIDO ATHIBITISHA UJIO AWA COLLABLE YAKE MPYA NA JOH MAKINI
Labels:
HABARI & UDAKU
Friday, September 18, 2015
NAY WA MITEGO AWEKA WAZI UHUSIANO WAKE NA PAM DAFF
Msanii
Ney wa mitego amefunguka juu ya taarifa zilizoenea kwenye mitandao ya
kijamii kwamba ana mahusiano ya kimapenzi na Msanii wa Bongo Flava
mwenye figure matata Pam Dafa, na kusema wao ni...
Labels:
HABARI & UDAKU
BELLE 9 ACHUKIZWA NA MASTAA WANAO JIANIKA
Star
wa muziki Belle 9, amezungumzia tabia ya wasanii kuanika maisha yao
binafsi katika vyombo vya habari ikiwepo mapenzi, kwake hii ikiwa si
sawa na akiwa haamini kama inaweza kumsaidia kivyovyote msanii kusimama
kimuziki.
Belle 9 amesema kuwa, hiyo inatokana na kujali pia familia yake ambayo imemlea katika misingi ya dini akiamini kabisa kuwa kuna...
Belle 9 amesema kuwa, hiyo inatokana na kujali pia familia yake ambayo imemlea katika misingi ya dini akiamini kabisa kuwa kuna...
Labels:
HABARI & UDAKU
PAM DAFFA AFUNGUKIA SIASA
Msanii
wa muziki Pam Daffa, akiwa katika kundi la wasanii ambao misimamo yao
kisiasa ni suala ambalo wameamua kuliweka binafsi, amesema kuwa hatua
hiyo imezuia yeye na wasanii wenye msimamo kama wake kukosa mashavu ya
kutumbuiza.
Ikiwa inafahamika vyema kuwa majukwaa ya kisiasa ni nafasi nzuri kwa wasanii kutengeneza pesa, Pam Daffa amesema kuwa, kidemokrasia ana...
Ikiwa inafahamika vyema kuwa majukwaa ya kisiasa ni nafasi nzuri kwa wasanii kutengeneza pesa, Pam Daffa amesema kuwa, kidemokrasia ana...
Labels:
HABARI & UDAKU
HEMEDY PHD ATANGAZA KUACHIA ALBUM YENYE NYIMBO 18
PHD ametoa habari hiyo njema kwa mashabili wake kupitia mtandao wa Instagram, Ameandika
INSHALLAH FEBRUARY 2016 MY VERY FIRST MUSIC ALBUM WILL BE OUT! THE ALBUM WILL BE...
Labels:
HABARI & UDAKU
Subscribe to:
Posts (Atom)