Baada ya Tiffah kufikisha siku 40, sasa ni muda wa kuonana na kaka zake hao watatu wanaoishi nchini Afrika Kusini. See more pics inside...
Mrembo huyo wa Uganda mwenye makazi yake South ameendelea kushare picha
zinazowaonesha wanae wakicheza kwa upendo mkubwa na mdogo wao Tiffah.
Katika picha nyingine aliyoshare jana Zari aliandika, “Someone didn’t
move an inch… spent half of his night just staring,” ameandika Zari
kwenye picha hiyo.
Zari na Tiffah walielekea Afrika Kusini wiki hii baada ya kukaa Tanzania
kwa kipindi cha miezi takriban mitatu tangu akiwa mjamzito.
Tiffah akifurahia usingizi kwenye ndege wakati yeye na mama yake wakiwa safarini Afrika Kusini
0 comments:
Post a Comment