skip to main |
skip to sidebar
KAULI YA DIAMOND BAADA YA KUTAJWA KUWANIA TUZO ZA MTV EUROPE MUSIC AWARDS 2015
Naseeb Abdul aka Diamond Platnumz amepata nafasi ya kuipeperusha bendera ya
Tanzania katika tuzo za MTV Europe Music Awards 2015 zitakazotolewa mwezi
October 25, 2015 jijini Milani Italy.Diamond alisema..‘Kiukweli namshukuru sana mwenyezi Mungu kwa sababu najua mimi
naamini sio mimi tu watanzania wengi ndoto zenu ni...
kuomba muziki wetu uweze
kutambulika kimataifa sio tu kutambulika bali kupewa heshima kwa taifa letu
la Tanzania‘ – Diamond Platnumz
0 comments:
Post a Comment