Ray C amefanikiwa kuurudisha mwili wake wa zamani ambao ulikuwa ni moja
ya silaha zake awapo jukwaani, kutokana na wepesi wa kukizungusha kiuno
chake kilichosababisha a.k.a ya ‘Kiuno bila mfupa’ kuanza kutumika. See more pics...
Jinsi Ray C alivyokuwa kabla ya kupungua
Jinsi Ray C alivyokuwa kabla ya kupungua
Toka Ray C ambaye jina lake halisi ni Rehema Chalamila aingie kwenye
matatizo ya matumizi ya dawa za kulevya, mwili wake pia uliongezeka kwa
kiasi kikubwa kiasi ambacho hata yeye binafsi amekiri kuwa alikuwa
akiuchukia.
Huyu ni Ray C wa leo baada ya kupungua
Baada ya kuanza mazoezi ya kupungua, Ray C amewa-surprise mashabiki wake
kwa kupost picha mpya Instagram akiwa amefanikiwa kupungua kg 30 na
kuandika;
“THE
OLD RAY C IS BACK!!!!RAYC WA ZAMANI ANARUDI!!!!NAISHIA HAPA!SIKUTAKA
KUWAONYESHA JINSI GANI NILIVYOKUWA NAJICHUKIA NIKIJIANGALIA KWENYE KIOO
NA UNENE NILIOKUWA!MTU NILIEKUWA NAMTEGEMEA KUNISAIDIA KUNIRUDISHA
KWENYE MUZIKI ALIUCHUKIA SANA UNENE WANGU NA AKANIAMBIA KAMA NATAKA
NATAKA KURUDI KWENYE GAME NIPUNGUE KILO 30!!!!!!
NINA FURAHA YA AJABU KUMUONA TENA RAY C YULE NILIOMZOEA!!NAANZA SHOOTING NEXT WEEK!!!YEI YE!I!!”
NINA FURAHA YA AJABU KUMUONA TENA RAY C YULE NILIOMZOEA!!NAANZA SHOOTING NEXT WEEK!!!YEI YE!I!!”
0 comments:
Post a Comment