Kwa kipindi cha miaka kadhaa iliyopita kulikuwapo na tetesi kuwa msanii
wa Hip Hop, Fid Q yupo katika mahusiano ya kimapenzi na mtangazaji wa
kipindi cha Mkasi, Salama Jabir na wana mipango ya kufunga ndoa.Fid Q amejibu swali kama ni kweli aliwahi kutaka kumuoa Salama kwa miaka kadhaa iiiyopita wakati alipokuwa akifanya mahojiano katika kipindi cha Ala za Roho na kusema...
taarifa hizo kuwa siyo sahihi.
“Sio kweli … hizo stori niza uongo,” Fid Q alimjibu mtangazaji wa kipindi hicho, Diva na baada ya hapo aliingiza mada nyingine na Diva kuachana na swali hilo.



Follow on Instagram
0 comments:
Post a Comment