MTOTO WA OSAMA BIN LADEN AAPA KULIPIZA KISASI MAREKANI
Mtoto wa aliyekuwa kiongozi wa Al-Qaeda, Osama bin Laden, Hamza bin Laden
ameapa kulipiza kisasi kwa Marekani kwa kumuua baba yake.
Ameapa kuliendeleza kundi hilo, amesema wako kwenye mpango wa kutekeleza
shambulizi lingine linalofanana na lile la Septemba 11, 2001
0 comments:
Post a Comment