Baada ya kufanya vizuri na ngoma yake ya “Nisamehe” aliyomshrikisha Ali Kiba, Baraka anakwambia sasa anampango wa kuhamia kwa Madiba.
Akiongea, Baraka amefunguka na kusema kwamba kwa sasa yeye anamipango yake na anafamilia yake, yaani akimaanisha kwamba na baby wake Najma, lengo kubwa la kwenda Afrika ya kusini ni...
kufanya shughuli za kimuziki pamoja na kufanya Biashara kwasababu kuna Fursa ameziona.



Follow on Instagram
0 comments:
Post a Comment