Pages

Subscribe:

Monday, November 7, 2016

DIVA: ALIKIBA BADILI GIRLFRIEND ANAKUTIA GUNDU

Mtangazaji wa Ala za Roho kipindi kinachorushwa na Clouds FM, Diva the bawse ametoa kauli kupitia mtandao wa twitter ambayo imezua gumzo kutokana na alicho kiandika. Ikiwa kwenye usiku wa Fiesta 2016 uliofikia kileleni chake usiku wa kuamkia 06th Nov, 2016, Mwanadada Diva aliweza ku twitte kuhusiana na uwezo wa alikiba katika kuimba na kumalizia kuwa “Girlfriend anakutia gundu”.

kitu ambacho wengi walijiuliza inamaana Jokate (Kama inavyo julikana kuwa ndiye wa Kiba) kuwa anmtia gundu! Mwanamuziki Alikiba ni miongoni mwa...
wanamuziki wenye nguvu nchini Tanzania huku akichuana kwa mashabiki na Diamond Platnumz.
Alikiba na Jokate Mwegelo

0 comments:

Post a Comment