Pages

Subscribe:

Wednesday, November 2, 2016

DOGO JANJA NA AGNESS MASOGANGE NDANI YA COUPLE


Uzuri Wa Tanzania Nimekutana Na Kivutio Cha Taifa! Utalii Wa Ndani @officialagnes1 Hakika Dada Wewe Ni Mrembo!
Dogo Janja ambaye inadaiwa yuko kwenye uhusiano wa kimapenzi na staa mwingine wa kike Agness Masogange.

Dogo Janja amesema kuwa picha inayoonekana kwenye mitandao watu wameitafsiri tofauti tu wao walikua sehemu moja ila mpiga picha alipigia sehemu ambayo iliwaonyesha kama wako chumbani huku... Dogo Janja akiangalia sehemu za nyuma za Agness.

“Masogange ni mshikaji wangu sana ni mtu wangu wa karibu watu wamezoea kuniona na marafiki wa kiume tu ni rafiki yangu na niko kwenye maongezi naye kuhusu kushoot video’ – Dogo Janja

‘Unajua baada ya Kidebe nafikiria jinsi ya kurudi tena na wimbo wangu mpya, ukitoa mambo ya kikazi yule ni mshikaji wangu, Agness pale alikua amekaa tu sio kwamba alikua ananionesha makalio ila nisipomtamani yule nitakua na matatizo” – Dogo Janja

0 comments:

Post a Comment