Kama wewe ni shabiki wa Bruno Mars, najua utakuwa unangojea ujio mpya wa Album yake ya 24K magic ambayo inatarajiwa kuachiwa ijumaa, sasa wakati ukiwa unaingojea Bruno ameshare ngoma ambazo zitapatikana katika Album hiyo.
Ndani ya Album hiyo Bruno Mars ajatoa kolabo na msanii yeyote zaidi ya madj kama Skrillex na Babyface, jambo jingine ambalo Bruno Mars anakuja nalo ni kuanza kufanya...
tour yake ya 24k magic.
Hizi ndio ngoma ambazo zinapatikana katika Album mpya ya Bruno Mars.
1. “24K Magic” 2. “Chunky” 3. “Perm” 4. “That’s What I Like” 5. “Versace On the Floor” 6. “Straight Up & Down” 7. “Calling All My Lovelies” 8. “Finesse” 9. “Too Good to Say Goodbye”



Follow on Instagram
0 comments:
Post a Comment