Zikiwa
zimebaki siku 30 kutolewa kwa Tuzo za EATV (EATV AWARDS) kampuni ya
East Africa Television LTD kupitia kipindi cha Planet bongo ya East
Africa Radio leo wametangaza wasanii wengine wanaoshiriki katika
vipengele tofauti. Wasanii waliotangazwa ni katika kipengele cha filamu bora ya mwaka na kipengele cha muigizaji bora wa kike, Kipengele cha kikundi bora cha muziki na kundi la video bora ya mwaka.
Mkuu wa Matukio wa Baraza za Sanaa Tanzania (BASATA), Kurwijira Maregesi alitaja majina matano ya wasanii wanaowania kipengele cha...
muigizaji bora wa kike (na jina la filamu kwenye mabano) kuwa ni
Nominee: Chuchu Hansy (Laura)
Nominee: Khadija Ally (3 Days)
Nominee: Frida Kajala Masanja (Hii ni laana)
Nominee: Rachael Bitulo njingo (Nimekosea wapi)
Baada ya kutangazwa kwa washiriki hao katika kipengele cha muigizaji bora wa kike, mwakilishi kutoka Vodacom Tanzania, Ibrahim Kaude ambao ni wadhamini wakuu wa tuzo za EATV AWARDS kwa kushirikiana na Coca Cola aliweza kutaja majina matano ya wasanii wengine ambao wanawania tuzo katika kipengele cha filamu bora ya mwaka kama ifuatavyo.
Filamu iliyoingia- Safari ya gwalu
Filamu iliyoingia- Hii ni laana
Filamu iliyoingia- Mfadhili wangu
Filamu iliyoingia- Nimekosea wapi
Filamu iliyoingia- Facebook profile
vipengele viwili vya kundi bora la mwaka, na video bora ya mwaka, ambapo wasanii kutoka nchi 3 za Afrika Mashariki, wamefanikiwa kupenya.
Wasanii hao tukianzia na kundi bora la mwaka ni:
Navy Kenzo – 'Kamatia chini'
Mashauzi Classic – 'Kismet '
Wakali wao - 'Chozi langu utalilipa'
Team Mistari – 'Tuzidi' (Kenya)
Saut Sol – 'Unconditional bae' (Kenya)
Kipengele cha pili ambacho 'nominees' wake wametangazwa ni kundi la video bora ya mwaka, ambapo video zilizoingia ni:
Njogereza – Navio (Uganda)
Don't bother – Joh Makini
Namjua - Shetta
Aje – Alikiba
NdiNdiNdi – Lady Jaydee

Follow on Instagram
0 comments:
Post a Comment