Pages

Subscribe:

Monday, November 7, 2016

I WILL MARRY YOU YA DIAMOND NA NEYO YAZIDI KUNUKIA


Muda si mrefu tutaisikia collabo ya Diamond na staa wa RNB wa Marekani, Neyo.
Ngoma hiyo imepigwa kwa mara ya kwanza kwenye kituo cha radio cha Capital Xtra cha Uingereza.

A WORLD EXCLUSIVE!!! | I WILL MARRY YOU – @diamondplatnumz feat. @NeYoCompound !! First played on @CapitalXTRA #AfrobeatsWithAbrantee— Abrantee (@DJAbrantee).
Kupitia page ya Instagram ya WCB wameandika,...
WORLD EXCLUSIVE ya nyimbo ya #diamondPlatnumz x #Neyo#IwillMarryYou ilifanyika jana kwa Mara ya Kwanza Nchini Uingereza kupitia kituo CAPITAL XTRA Radio… Tarehe ya kuachiwa Rasmi itatangazwa hivi karibuni. #WorldWideMovements
 
Tayari video ya wimbo huo imeshafanyika tangu mwezi Septemba mwaka huu huko jijini Los Angeles, Marekani lakini bado haijajulikana muda wa kuachiwa rasmi.

0 comments:

Post a Comment